Human Right - Museke African song lyrics

Tagged:  •  
  • Human Right View all from Wawesh
    Its Meant to be
    Wawesh
    Swahili
    Wawesh
    2007

Verse1
Kuna noma na taabu, ugonjwa wa damu
Na soma kitabu, ndio nijue sababu
Ulaya watu wana baki mbona mi damu
Millioni wamekufa sa hatuezi hesabu, na ni kwangu
Tuko pamoja watu wangu
Najaribu kuwambia watu ng'ambo kwetu wa kamu ku
Chanja, kabla kamba ishukishe sanduku chini umwagilie mchanga
Ebu imagine kuna shindano na dawa ya kuzuia na hauwezi tumia sababu hauna
mia, ata kama kuna karma ni itawarudia
I have to interfeer, wata skia

Chorus
Big up, Big up and me not gon give up
Big up, Big up and you not gon give up
Big up, Big up and we not gon give up

Verse 2
Soma juu ya homa imepeano na mbu
Katoi kana shindwa kupigana na flu
If we are together basi what are we gonna do
Roho (Safi), Iko (Wapi), mi sistaki kuskia ati ulibaki, ati ulikosa wakati
Wa M.A.L.A.R.I.A Day
Ka we ni mtendaji ama mtazamaji, karibuni mlango iko wazi
Tujazeni kiwanja isikuwe empty, mwenye nguvu asimame, hauna keti
Hebu ngoja (nani sceptic) me I Produce/Mc, far from an M.P
Kwanini a few has access to all the safety and because of it watu
wangu wana deadi
Think about it, speak bana and you wont have to (read all about it)

Chorus

Verse 3
Niambie ni (kwanini), kila sekunde (ishirini)
Kuna mtoto maskini ana geuwka (kwa jini)
Na mwisho wa mwaka hii millioni ni (mbili)
Tafadali watu wa dunia simama na mimi
Ma bwana na bibi, kubali amini, sio sawa, sio fiti, The blood that we
are spilling, is it neccesary, we need you opinion
We want you to act (now) so that no more civilians shall fall (victim)
Due to the system, its not (efficient) to many African souls gone missing
Most likely cause a tiny Mosquito bit them and the people that could
never made a difference

© Wawesh

Poster un nouveau commentaire

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Youtube and Google video links are automatically converted into embedded videos.

More information about formatting options

2595.65