View all from Wawesh Its meant to beWaweshSwahiliWawesh2oo7
MPANGO Lyrics
Chorus X2
Hauna rada
Hauna mpango
Nauna bambwa
Verse 1
Twende kazi, Genge safi, toka Easti, shagz, city (Hoya)
Vipi, na wakilisha nyinyi basi waki uliza mimi
(Hold on a minute) Woi woi Wawero huchenga customs International ye
magendo, we fikiri, dont be silly, nani kama mimi
(na tangu lini) sio ile doggy iliva longi (ni ithe wa) Sirafim na Nayomi
So mtengeza wa sauti hi, mtafauti, mi sichezi
Chorus
Verse 2
Twende kazi, Genge safi, hai fwanani na Kapuka (ruka)
Chombo cha kuzama si hakina usigani (yani ni kweli)
Hirimu fupi, mi sichezi, mi siezi jo, kabla ni deadi
Inabidii kazi mingi, penny moja kwa Shilingi
(Pumu, Nairobi) paka St Augustine (ni ithe wa) Sirafim na Nayomi
Bada dhiki ni faraja, nakumbuka kwa mtoto
(One day) nitakuwa na nguvu we, penye urembo ndipo pe..
Its been a long a way, a long wait, nimefika..
Chorus
Verse 3
(Aki) tafadali wasiwasi iache ndani yangu ni kubali
Nikiskia ku panic jo, na fikiria ju ya zamani vile mi nime skia uchungu
Na vile mungu amenipa nguvu, niko na malaika vile ama survivor, kubali
Chorus
Produced by Blao Entertainment Group













Poster un nouveau commentaire