Leah - Museke African song lyrics

Tagged:  •    •    •    •    •    •  
  • Leah View all from Dully Sykes
    Handsome
    Dully Sykes
    Kiswahili
    Abdul Sykes
    2004

Nilimkuta Leah amejilaza
Chini kwenye kituo cha wamataa
Huku ngozi yake maji ya kunde
Imegeuka ya majani isiyopendeza
Unafanya nini nikamuliza ?
Akanijibu anaumwa na pia ana njaa
Msichana wa miaka wa kumi na tisa
Kumbe alikuwa amesha hadhirika
Nikampeleka duka la madawa
Hili kidonge kidogo imweke sawa
Kwani alikuwa na fungus mwili mzima
Ikambidi anihadhithia stori nzima
Akaanza kuniadhithia kwa huruma
Kwamba siku mmoja alikuwa anatoka shuleni
Siku hiyo njaa ilimtawala
Akotokea dereva wa daladala
Akamwambia Leah Lifti panda mbele
Japo mwanafunzi akae kiti cha mbele
Tena bila malipo ni burebure
Akaanza kumtongoza polepole
Sababu Leah njaa ilimtawala
Akaambiwa atanunuliwa Chipsi, Soda
Ilipofika jioni akanunuliwa
Wakapanga wakutane tena
Palepale
Ilipofika
Wakakutane palepale
Akapanda daladala hadi usiku
Wakaenda kufanya yao mavitu
Wakaenda kufanya yao mavitu

Refrain/Chorus
Leah
Umekwenda
Hayo yote Mola amepanga 3x

Akamrubuni nakumfanya mapenzi
Akawa akitoka schule yeye kwa mchizi
Kwa bahati Leah schule alimaaliza
Baada ya tu kumaliza akatoroshwa
Akaishi na yeye
Kama mke na mume
Nyumbani alikuwa na magokumu yote
Kuosha viombo kupika na khadhalika
Ikawa akikosa kidogo anapigwa
Baada hema na mume akawa na kisirani
Alivumilia mpaka mwisho akashika mimba
Alikaa nayo mpaka miezi tisa
Aliyifungulia huko muhindili
Mtoto akafa baada ya miezi miwili
Alikufa kwa ugonjwa wa Nimonia
Baadaye pia aliuguwa

Alikuwa na tatizo la kifua
Tubercolosis oh liliyomsumbuwa
Muda wa wiki mbili alisumbuliwa
Ilipofika Tarehe sita mwezi wa kumi
Nakumbuka siku hiyo ilikuwa jumapili
Ndiyo siku hiyo Leah alifariki
Ilipofika jumanne tarehe nane
Ikabidii watu wote tuungane
Tukamzika tabata makaburi
Hapo ndipo yalikuwa makaburi
Mungu mlaze mahali pema peponi x 2
Leah

© Dully Sykes

Related
Museke African song lyricsSalome1, Nyambizi2, Tamika3, Dhahabu4, Shake it6, Go back to her7, Story of my life8, Kom speel9, Falling in love10, Umunt'onjani lo12, Dali Wami13, Mngani Wam14, Nabikoowa15, Kibaluma16, Afrique18, Signs (are all around us)20, The Story Behind The pain21, Yvonne22, Zali la mentali24, Sivyo Ndivyo25, Katupakase (tukole)26, Bei kali27, Jamila28, Mama Rhoda29, Nikusaidiaje31, Poa32, Wasanii33, Watu wangu34, Tafutaji35, Ulaya36, Mpango37, Shindwa38, Mbarika39, Ndawo yami (my place)40, Magic41, Sogea sogea43, Sikuhitaji44, Uko wapi45, Emlanjeni47, Ndihamba Nawe48, O tswa kae 49, Ma'cheri50, Pot belly51, Baby Tonight52, Pink confetti53, Maisha (my life)54, Everytime55, Butterflies56, Dalile (the hamba song)57, One of a kind58, Love me for me60, Sinzia61, Black President62, Phezulu63, High I go64, Sondela65, Riziki66, Everyone's Child 68, Wandirasa 69, Siku hazigandi72, Wanaume kama mabinti73, Distance74, Mhla'uphel'amandla 75, Cinderella (Ali Kiba)78, What's hardcore80, Hoobale81, Never Change My Mind 82, The Superstar83, Gimme love84, Kenyan gal, Kenyan boy85, Fire anthem86, Chochote utapata87, Ninanoki88, Usijaribu (Mikono juu)89, Fiasco90, Sekunjalo91, Nchi ya kitu kidogo92, Lwandle 94, Siwema95, Twende Twende 96, Bless ma room97, African dream98, Click Song (Qongqothwane)99, Wa tuba tuba 100, Tsho Tsho102, Dubula, dubula, dubula103, Karolina104, Subhaa105, Cape to Cairo107, Vumile108, Niwe wako110, Bembeleza111, Motherland (Tribute to Africa)112, International113, Dunia mapito114, Kuna dawa115, Liar116, Wailai118, Ngaphesheya 119, Machoni kama watu 120, Karibia122, World of scandals123, Crazy party124, Music & Lights125, Feel good127, Quadradinha128, Nita Mukuma Kwini130, I love you (Yola)131, I'm burning up132
Museke African mixes/playlistsAfro-ES5
Museke African artistesGal Level11, Juliana Kanyomozi17, Tumi and the Volume19, Professor Jay23, Bushoke30, Zamajobe Sithole42, Ray C46, Jamali59, Jamnazi Africa67, Chiwoniso70, Malaika71, Lady Jaydee76, Alikiba77, Zola79, Eric Wainaina93, Koldproduk101, Kabelo106, Nikki109, Wahu117, Top in Dar (TID)121, Matonya126, Yola Araujo129

Poster un nouveau commentaire

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Youtube and Google video links are automatically converted into embedded videos.

More information about formatting options

1921.29