View all from Longombas
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media galleryChukuaLongombasSwahili4:16http://www.youtube.com/watch?v=U5TPhlwujE4Lovy and Christian Longomba2005
Chorus
Hee-haa, vuta pumz
We vuta pumz
Longombas wanafanya mambo (vuta pumz)
Longombas wanatetemesha (vuta pumz)
Jamani nisikilizeni, mnisikilize (x2)
Kuna wanawake warembo
Wenye marasa, na mapaja, na weupe
Na ni wazuri kinyama
Jamani nisikilizeni, mnisikilize (x2)
Kuna wanaume wengi
Wenye vifua, na warefu, na wenye nguvu
Na ni wazuri kinyama
Lakini tujichunge
Pengine wanao mdudu
Wanatuacha, wana-go (x2)
Chorus
Hee-haa, vuta pumz
We vuta pumz
(x2)
Usimwone amejaza nyuma, ukadhani ako poa
Usimwone amerembeka, ukadhani umefika
Usimwone ana pesa, ukadhani umefika
Pengine anatuacha, kesho anachora
(X2)
Na kama unayo, si mwisho ya maisha
Ni ugonjwa tu kama malaria
Meza dawa, piga tizi, kula vizuri, utaishi fiti
Maisha utayasukuma (x2)
Na mijinga usiyojua kujichinga
Kila shimo unaona unadunga
Hebu jichunge kijana utakuja kufa tukuzike Lang'ata
Paja asione tu, huyo ashainua
Kifua kisipite tu, huyo ashajigonga
Tako lisipite tu, mate yashamtoka (x2)
Chorus ![]()
Hee-haa, vuta pumz
We vuta pumz
(x2)
Ayi nenene (x16)
Usimwone amejaza nyuma, ukadhani ako poa
Usimwone amerembeka, ukadhani umefika
Usimwone ana pesa, ukadhani umefika
Pengine anatuacha, kesho anachora
(X2)
© Longombas
Watch the Vuta Pumz video
Produced by Ogopa Deejays













Poster un nouveau commentaire