Yule


Intro
Aha (2x)
Umeshaisikia hii?
Kutoka kwa A.Y

Chorus 2x
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo simple
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo, nitafanyaje?
Patamu hapo

Verse 1
Anavyotabasamu ndipo anaponipa hamu
Sura umbo lake basi lanipa wazimu
Nataka kumfuata, nahisi atakataa
Naogopa akinimwaga, story zitazagaa
Napenda miondoko yake, tabia yake
Umaskini wangu utanifanya nisimpate
Yule, anayesumbua akili yangu
Yule, anayeumiza moyo wangu
Najua hafahamu, najua hafahamu
Moyoni mi nabaki na mawazo
Lakini kumwambia ndo siwezi

Repeat Chorus 2x

Verse 2
Tatizo hajui, bila penzi lake maze sijitambui
Mi nitafanyeje, hata nikimuona mdomo unajaa mate
No no no (2x)
Napomuonaa, pindi tukikutana
Iwe club, kapozi na rafiki zake
Ua tabu, napofikiria ni vipi nimfuate
Muda utafika napo ukweli ntamueleza
Nakosa raha pale washkaji wakinicheka
Sijitambui, nae hajui kama kwake nimefika

Repeat Chorus 2x

Bridge
Anavutia
Cha ajabu hajidai
Nataka awe wangu tu, lakini kumwambia ndo siwezi

Repeat Chorus till fade

© A-Y

:

Watch the Yule video by A-Y

Related
Museke song lyricsBinadamu1, Usijaribu (Mikono juu)2, Machoni kama watu 5, Shake it6, Go back to her7, Story of my life8, Kom speel9, Falling in love10, Umunt'onjani lo12, Dali Wami13, Mngani Wam14, Nabikoowa15, Kibaluma16, Tamika18, Leah19, Signs (are all around us)20, The Story Behind The pain22, Afrique23, Zali la mentali25, Sivyo Ndivyo26, Katupakase (tukole)27, Bei kali28, Jamila29, Mama Rhoda30, Poa31, Wasanii32, Watu wangu33, Tafutaji34, Ulaya35, Mpango36, Mbarika37, Shindwa38, Ndawo yami (my place)39, Sogea sogea40, Sikuhitaji41, Emlanjeni42, Ndihamba Nawe43, O tswa kae 44, Ma'cheri45, Maisha (my life)46, Sinzia47, Black President48, Phezulu49, High I go50, Sondela51, Riziki52, Everytime54, Butterflies55, Secrets56, Everyone's Child 57, Wandirasa 58, Siku hazigandi61, Wanaume kama mabinti62, Distance63, Mhla'uphel'amandla 64, Baby Tonight66, Cinderella68, What's hardcore70, Hoobale71, Never Change My Mind 72, The Superstar73, Nyota Yako74, Kenyan gal, Kenyan boy75, Fire anthem76, Chochote utapata77, Ninanoki78, Fiasco79, Sekunjalo80, Nchi ya kitu kidogo81, Lwandle 83, Siwema84, Twende Twende 85, Bless ma room86, African dream87, Click Song (Qongqothwane)88, Pink confetti89, Wa tuba tuba 90, Tsho Tsho92, Dubula, dubula, dubula93, Karolina94, Subhaa95, Cape to Cairo97, Vumile98, Niwe wako101, Bembeleza102, Motherland (Tribute to Africa)103, International104, Dunia mapito105, Kuna dawa106, Liar107, Wailai109, Ngaphesheya 110, Karibia112, World of scandals113, Crazy party114
Museke artistesA-Y3, Gal Level11, Juliana Kanyomozi17, Tumi and the Volume21, Professor Jay24, Jamnazi Africa53, Chiwoniso59, Malaika60, Lady Jaydee65, Alikiba67, Zola69, Eric Wainaina82, Koldproduk91, Kabelo96, Zamajobe Sithole99, Nikki100, Wahu108, Top in Dar (TID)111
Museke mixes/playlistsAfro-ES4
 

Produced by Steve Jean

Post new comment

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Youtube and Google video links are automatically converted into embedded videos.

More information about formatting options

1036.87