Dhahabu
http://216.69.164.44/dar/Images/uploaded/2006/06/09/20279one.jpg
View all from Dully Sykes
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media galleryDully Sykes, Joslin, Mr BlueDhahabu2006Abdul 'Prince Dully' SykesSwahili94:43http://www.youtube.com/watch?v=mKVS0rRbH6o
Intro
Ohh! ai say ai ai
Ohh! mama ei, oi ei ei ei
Say ei ei
Verse 1 - Dully Sykes
Nakupenda maa!
Basi njoo maa!
Nikila saa kabisa! uko kwa kichaa!
Girl just listen,tuishi kwama heaven
Nakuweka kwenye top 10
Nadata na reception
Mi nachoka hoi, pande zote huniboi
Niite baby boy to me, achana na toy
Dozz pipo doz mapozi
Sasa dozi na hisia za machozi
Na napenda zako nywele ndefu
Zimekwenda shule
Upande wa maumbile
Nadata toka pande pande ile
Sura yenye mvuto mashavu yenye dimpose (2x)
Chorus 2x
Oh! oh! oh! yaani soo!
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila upande ooh!
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Verse 2 - Joslin
Mara ya kwanza nilikutana naye kiutani
Nikampa hi! huku akinishika shavuni
Am a Josline a.k.a mpendwa na watu
Kwasababu mi naflow style zaidi ya tatu
Ye kashtuka kanifagilia
Hakuamini kama 'Basi' nimewaimbia
Mshkaji mmoja hivi ndo uliofuatia
Mara akatikisa kichwa kifuani akaegemia
Ghafla akaanza kulia
Huku akinishika kwa hisia
Wasiwasi ukanijia, kumuona demu anaridhia
Anadai anazimika nnavyo flow
Nambusu mpaka mwisho, yaani naweka fullye
Hisia zangu kwenye muziki zinachoma
Ndo sababu kubwa iliyomfanya anipende sana
Mtoto mzuri ukimwona utampa heshima
Mi namuita dhahabu ndani ya kariakoo nzima
Repeat Chorus 2x
Verse 3 - Mr Blu
U-Lonely tena bye, mi nafurahi
Niko sehemuza majani, kichwani niko high
Namuona manzii maskani, yuko so fly
Mi nawahi, najigeuza Dully namfuata nampa hi
Nimeshaini kama Mully, kadata mtoto hakatai
Anang’aa kama Gold
Yeah! yeah! yeah! yoah!
Anaita kama bling thing
Kama dhahabu, amefika kwa King
Queen wa kheri na ajabu
Anakila sababu, asipate tabu
Nimezimika ajabu...sana tu
Yoah! Hapendi pesa, hapendi show
Yeah anampenda Blu
Washamteta hasemi no!
Ye anawaona fool
Noma na kabaisa ajulikana mpaka kwetu
Steve unataka kumjua?
Master J kwenzetu
Repeat Chorus
Bridge - Dully
Ohhhh! Unasifiwa style
Una bonge la smile
Nila 'am telling', napenda yako smile
Popote najinadi (2x)
Hakuna wa zaidi, hata awe P.Diddy
Oh my girl sema chochote niku gee
Mtoto unakata, hapo mi ndo nadata
Kiuno nakamata, oh! raha nazipata (2x)
Go! go shorty
Washa mi nidate,no story
Unaponipa mate, ona sasa wameshaanza hao
Nishikie, na sa ’walete gan’ tena zao
Repeat Chorus
© Dully Sykes
Watch a video using the Dhahabu track
Produced by





















Post new comment