View all from Dudubaya
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media galleryManunduDudubayaSwahili3:22http://www.youtube.com/watch?v=8HWuNYQpWPwGodfrey Tumaini2006
Chorus 2x
Napenda manundu, sipendi vijipu
Sipendi vijipu, vijipu uchungu
Verse 1
Sister, am sorry
Napenda manundu, sipendi vijipu
Manundu huna tutaenjoy vipi?
Nisije kughiribu, yako sifa nikaharibu
Najua umedata na hiki kifua
Sindano hujadungwa, hapo tupu unawashwa
Na nikisha kudunga?
Lazima upate ugonjwa wa kukolea
Na kuitema ni ngumu,imeundwa!
Usije ukawa unashinda kwangu kutwa barazani
Kwenye laini sipatikani
mi teja
Kila ninapokuona my dear mi nahepa
ya nini?
Namuheshimu mola, utu wako mi najali
We si type yangu kwanini nikuplay?
am sorry
Natibu manundu, siwezi vijipu
Labda cha diet fukia misosi
Yakitoka manundu
Hapo! tutaelewana
Nalijua game
Nisije kuonjesha kisha
nikakutema
Moyo ukakosa raha kitanzi ukajipiga
Tuwe tu marafiki
Mungu ndivyo alivyopenda
Sister, am sorry
Repeat Chorus
Verse 2
Napenda mahaga, na mahaga huna
Nikutibu vipi?
Udokta wangu ni kutibu manundu
Sina ujuzi nikutibu vipi?
Muone B12 dokta wa vijipu
Kwa mull B utabugi, tafadhali ya Majizo
Napenda uwe sister, najali yako life
Komalia elimu,ije kuwa poa life
Mimi ni mashine, toka toka Mwanza
Nisije kuchetua, darasani hutatulia
Sivutiwi na wewe, wapo unaowavutia
Wala dada usikonde, mola atakupa mwenzi
Kwasasa vuta pumzi, kauka kisabuni
Vuta subira
Dokta utapata atakutibu
Lakini sio mimi, mimi ni manundu
Manundu duu (2x)
Manundu tu na mimi
Sipendi kukuchafua,hlafu nijikatae
Kumbuka kuna mimba zisizokuwa tarajio
Na kuitoa mimba, tayari umetenda dhambi
Sipendi kuharibu yako future, sister, am sorry
Repeat Chorus 2x
Talking
© Dudubaya
Watch the Manundu video by Dudubaya
Produced by












One of TZ (Bongo's) finest - Dudubaya
Post new comment