Sivyo Ndivyo - Museke African song lyrics

Tagged:  •    •    •    •    •    •    •  
  • Sivyo Ndivyo
    Enable Javascript and
    Adobe Flash player in your browser to browse the full media gallery

    View all from Jose Chameleone
    Sivyo Ndivyo
    Jose Chameleone, Professor Jay
    Swahili
    4:27
    http://youtube.com/watch?v=msR7FIuqRKM
    Joseph Mayanja, Joseph Haule
    2006

Chorus
Unavyodhani Ndivyo sivyo maisha ni safari sio kua na
(likizo)
Nalikizo yo yo!
Naongeza msistizo tena usimsahau mtu mwenye matatizo
(Mama yo yo)
Wangapi walikua nazo nasasa hawana tena wamebaki naviulizo
(Vingi Viulizo)
walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(Ndivyo sivyo sivyo ndivio)

Verse 1 (Professor Jay)
Eh! tusaidiane kwenya raha na shida
Usimdharau mwenye nja kwakua we umeshiba
Maisha safari ndefu sio eleweka
Leo uko hapa unalia mwenzako kule anacheka
Usimutuze tu mwenye nyumba na gari
Kumbuka umaskini na utajiri zote hadhi
Unavyodhani ndivo sivyo sivyo ndivyo
Dunia hivyo ndilivio kuna rah na matatizo
Kama leo umepewa basi mushukuru mumba
Kama umekosa ongeza bidi na sio ndumba
Mwenzio akiwa ana thama murushie kamba
Sikia kilio cha watu wazima Bongo Mpaka Uganda!

Repeat Choruslyrics from museke.com

Verse 2 (Chameleone)
Never under estimate
And learn to appreciate
No matter situation, persevere and tolerate
Don't get hooked by the bait
Life is life, no matter what the time and date
Take a little more time, sit and concentrate
It's J. Chameleone, Professor in a new duet!

Repeat Chorus

Verse 3 (Professor Jay)
Unaedhani ana afya kumbe ndio ana ngoma
Usimini kila kitu ambacho macho yaona
Wangapi wana magari na kumbe yote ya mkopo
Benki ikiwadai wanarudi kwenye msoto
Usi ishi kwenye ndoto, maisha upange wewe
Anapanga ama nani muombe ili upewe
Usimdharau mtu kwa kua yeye yuko simple
Kumbe akili yake ina nguvu zaidi ya kingkong

Verse 4 (Chameleone)
Mama yoooo!
Munno bwolaba talina muwe Plani
Tomukuba mgongo omulanga Bisiraani
Oyo gwonyoma nti talina Plani
Ebyensi bikyuka mungu yayina Plani
Tonyoma njala gweluma talina musango
Toduulira mwavu tomukuba mugongo
Ani yali amanyi nti ndikuba ebidongo
Maisha kama kamari bora itumie ubongo!

Repeat Chorus

© Chameleone, Professor Jay

:

Watch the Sivyo Ndivyo video by Jose Chameleone, Professor Jay

Listen to a remix of the Sivyo Ndivyo song/audio by Jose Chameleone, Professor Jay

Related
Museke African song lyricsKipepeo1, Zali la mentali2, Bei kali3, Jamila4, Katupakase (tukole)5, Mama Rhoda6, Nikusaidiaje11, Chochote utapata12, Nipe mkono14, Crazy over you15, Shake it16, Go back to her17, Story of my life18, Kom speel19, Falling in love20, Umunt'onjani lo22, Dali Wami (Ntando)23, Mngani Wam24, Nabikoowa25, Kibaluma26, Tamika27, Leah28, Afrique29, Poa30, Ndawo yami (my place)31, Sogea sogea33, Sikuhitaji34, Emlanjeni35, Ndihamba Nawe36, O tswa kae 37, Ma'cheri38, Maisha (my life)39, Sinzia40, Black President41, Phezulu42, High I go43, Sondela44, Riziki45, Everytime47, Butterflies48, Everyone's Child 49, Wandirasa 50, Siku hazigandi53, Wanaume kama mabinti54, Distance55, Mhla'uphel'amandla 56, Baby Tonight58, Cinderella (Ali Kiba)60, What's hardcore62, Hoobale63, Never Change My Mind 64, The Superstar66, Gimme love67, Kenyan gal, Kenyan boy68, Fire anthem69, Ninanoki70, Usijaribu (Mikono juu)71, Fiasco72, Sekunjalo73, Nchi ya kitu kidogo74, Lwandle 76, Siwema77, Twende Twende 78, Bless ma room79, African dream80, Click Song (Qongqothwane)81, Pink confetti82, Wa tuba tuba 83, Tsho Tsho85, Dubula, dubula, dubula86, Karolina87, Subhaa88, Cape to Cairo90, Vumile91, Niwe wako94, Bembeleza95, Motherland (Tribute to Africa)96, International97, Dunia mapito98, Kuna dawa99, Liar100, Wailai102, Ngaphesheya 103, Machoni kama watu 104, Karibia106, World of scandals107, Crazy party108, Music & Lights109, Feel good111, Quadradinha112, Nita Mukuma Kwini114, I love you (Yola)115, I'm burning up116
Museke African mixes/playlistsAfro-ES7
Museke African artistesJose Chameleone8, Professor Jay9, Bushoke10, K-lyinn13, Gal Level21, Tumi and the Volume32, Jamnazi Africa46, Chiwoniso51, Malaika52, Lady Jaydee57, Alikiba59, Zola61, Juliana Kanyomozi65, Eric Wainaina75, Koldproduk84, Kabelo89, Zamajobe Sithole92, Nikki93, Wahu101, Top in Dar (TID)105, Matonya110, Yola Araujo113
 

Produced By Kiwuuwa for Leone Island Entertainment

Post new comment

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.
  • Enclose a word in <d> tags to link to a dictionary search
  • Enclose a word in <m> tags to link to a Museke search
  • Enclose a word in <s> tags to link to a search on this website
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Youtube and Google video links are automatically converted into embedded videos.

More information about formatting options