New content on Museke!
Search
Riziki
http://www.sternsmusic.com/cdi/fixedSize350x350/salcd003.jpg
View all from Jamnazi Africa
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media galleryJamnazi AfricaRiziki2007Awilo - Michael Otieno, Jamnazi AfricaSwahili11:53http://www.youtube.com/watch?v=tfWahaIfXjE
Mimi ninalo jambo
la nisumbua akili
ulimwengu umepasuka mahali
mungu aliupanga usiku saa ya kulala
mbona walimwengu mmebadili mipango ?
Usiku sasa imegeuka mchana
na mchana sasa ni kama usiku – jamani – yeaa eah
mi – nashangaa yeaa
[repeat]
karo za watoto mnatafuta usiku
kodi za nyumba mnatafuta usiku
biashara nyingi mnafanya usiku
chai kwa mkate sasa mnauza usiku
mahindi choma sasa mnauza usiku
malimali sasa mnauza usiku
hata maombi nyingi mnafanya usiku
koinange mnatafuta usiku
wake kwa waume shughuli zenu usiku
hata safari nyingi mnaenda usiku
biashara zote mnafanya usiku
kwa nini ? yeaa eah
mi – nashangaa
[repeat]
niliambiwa na babu yangu
kweli
zubaazubaa
utapata mwana si wako
2x
nimeamini kilichosemwa na babu
nimekubali kilichosemwa na babu
Mgaagaa na upwa hali wali mkavu
lakini sasa mwapumzika saa ngapi ?
Asubuhi mnatafuta riziki
mchana kutwa mnatafuta riziki
hata majioni mnatafuta riziki
usiku wa manane mnatafuta riziki
mnabieni mnapumzika saa ngapi wenzangu
mi – nashangaa
niliambiwa na babu yangu
kweli
zubaazubaa
utapata mwana si wako
[repeat]
[lugha nyingine]
© Jamnazi
Listen to the Riziki song/audio by Jamnazi
Watch the Riziki video
Jamnazi Africa - one of the popular groups in Kenya
Riziki was nominated for a best Western Benga award
Produced by Sound Africa











Post new comment