Leah

  • Leah View all from Dully Sykes
    Dully Sykes
    Handsome
    2004
    Abdul Sykes
    Kiswahili

Nilimkuta Leah amejilaza
Chini kwenye kituo cha wamataa
Huku ngozi yake maji ya kunde
Imegeuka ya majani isiyopendeza
Unafanya nini nikamuliza ?
Akanijibu anaumwa na pia ana njaa
Msichana wa miaka wa kumi na tisa
Kumbe alikuwa amesha hadhirika
Nikampeleka duka la madawa
Hili kidonge kidogo imweke sawa
Kwani alikuwa na fungus mwili mzima
Ikambidi anihadhithia stori nzima
Akaanza kuniadhithia kwa huruma
Kwamba siku mmoja alikuwa anatoka shuleni
Siku hiyo njaa ilimtawala
Akotokea dereva wa daladala
Akamwambia Leah Lifti panda mbele
Japo mwanafunzi akae kiti cha mbele
Tena bila malipo ni burebure
Akaanza kumtongoza polepole
Sababu Leah njaa ilimtawala
Akaambiwa atanunuliwa Chipsi, Soda
Ilipofika jioni akanunuliwa
Wakapanga wakutane tena
Palepale
Ilipofika
Wakakutane palepale
Akapanda daladala hadi usiku
Wakaenda kufanya yao mavitu
Wakaenda kufanya yao mavitu

Refrain/Chorus
Leah
Umekwenda
Hayo yote Mola amepanga 3x

Akamrubuni nakumfanya mapenzi
Akawa akitoka schule yeye kwa mchizi
Kwa bahati Leah schule alimaaliza
Baada ya tu kumaliza akatoroshwa
Akaishi na yeye
Kama mke na mume
Nyumbani alikuwa na magokumu yote
Kuosha viombo kupika na khadhalika
Ikawa akikosa kidogo anapigwa
Baada hema na mume akawa na kisirani
Alivumilia mpaka mwisho akashika mimba
Alikaa nayo mpaka miezi tisa
Aliyifungulia huko muhindili
Mtoto akafa baada ya miezi miwili
Alikufa kwa ugonjwa wa Nimonia
Baadaye pia aliuguwa

Alikuwa na tatizo la kifua
Tubercolosis oh liliyomsumbuwa
Muda wa wiki mbili alisumbuliwa
Ilipofika Tarehe sita mwezi wa kumi
Nakumbuka siku hiyo ilikuwa jumapili
Ndiyo siku hiyo Leah alifariki
Ilipofika jumanne tarehe nane
Ikabidii watu wote tuungane
Tukamzika tabata makaburi
Hapo ndipo yalikuwa makaburi
Mungu mlaze mahali pema peponi x 2
Leah

© Dully Sykes

Related
Museke song lyricsSalome1, Nyambizi2, Tamika3, Dhahabu4, Shake it6, Go back to her7, Story of my life8, Kom speel9, Falling in love10, Umunt'onjani lo12, Dali Wami13, Mngani Wam14, Nabikoowa15, Kibaluma16, Signs (are all around us)18, The Story Behind The pain20, Afrique21, Zali la mentali23, Sivyo Ndivyo24, Katupakase (tukole)25, Bei kali26, Jamila27, Mama Rhoda28, Poa29, Wasanii30, Watu wangu31, Tafutaji32, Ulaya33, Mpango34, Shindwa35, Mbarika36, Ndawo yami (my place)37, Magic38, Sogea sogea40, Sikuhitaji41, Emlanjeni42, Ndihamba Nawe43, O tswa kae 44, Ma'cheri45, Maisha (my life)46, Sinzia47, Black President48, Phezulu49, High I go50, Sondela51, Riziki52, Everytime54, Butterflies55, Secrets56, Everyone's Child 57, Wandirasa 58, Siku hazigandi61, Wanaume kama mabinti62, Distance63, Mhla'uphel'amandla 64, Baby Tonight66, Cinderella68, What's hardcore70, Hoobale71, Never Change My Mind 72, The Superstar73, Nyota Yako74, Kenyan gal, Kenyan boy75, Fire anthem76, Chochote utapata77, Ninanoki78, Usijaribu (Mikono juu)79, Fiasco80, Sekunjalo81, Nchi ya kitu kidogo82, Lwandle 84, Siwema85, Twende Twende 86, Bless ma room87, African dream88, Click Song (Qongqothwane)89, Pink confetti90, Wa tuba tuba 91, Tsho Tsho93, Dubula, dubula, dubula94, Karolina95, Subhaa96, Cape to Cairo98, Vumile99, Niwe wako101, Bembeleza102, Motherland (Tribute to Africa)103, International104, Dunia mapito105, Kuna dawa106, Liar107, Wailai109, Ngaphesheya 110, Machoni kama watu 111, Karibia113, World of scandals114, Crazy party115
Museke mixes/playlistsAfro-ES5
Museke artistesGal Level11, Juliana Kanyomozi17, Tumi and the Volume19, Professor Jay22, Zamajobe Sithole39, Jamnazi Africa53, Chiwoniso59, Malaika60, Lady Jaydee65, Alikiba67, Zola69, Eric Wainaina83, Koldproduk92, Kabelo97, Nikki100, Wahu108, Top in Dar (TID)112

Post new comment

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Youtube and Google video links are automatically converted into embedded videos.

More information about formatting options

1216.58