Nyota Yako
http://farm1.static.flickr.com/206/444367186_62b1bf6c0c_m.jpg
View all from TID
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media galleryTop In DarJembe2008Khalid MohammedSwahilihttp://www.youtube.com/watch?v=ANm5uEbzze4
Chorus
Jua kwamba wewe ndio wangu
Baridi ya roho 'seisha na hamu
Sura yako dawa kwangu
Raha za pungu' kando zangu [Not really sure what this means]
Mahaba yako ndio tiba yangu
Nyota yako yang'ara yangu
Hebu tathmini kisha nipe jibu
'vi kwanini hutaki kunijibu
Mitihani yote nimeshinda
Nadhani ni wakati
Penzi letu sisi liwe wazi
Roho yangu inauma (a lady helps co-sing this line)
Maumivu sasa basi
Sasa basiiiii
Ni kwa thabiti nielewe
Pesa sio mapenzi...
Pesa sio mapenzi...
Kwa utenzi huu
Nielewe baby
Nakuhitaji mpenzi
Wewe nd'o faraja yangu
Wewe nd'o faraja yangu
Faraja yangu
You are my baby...
Jua kwamba wewe ndio wangu (oohhh...)
Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
Raha za pungu' kando zangu (nd'o zangu)
Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti..)
Nyota yako (ehh..) yang'ara yangu (Kwangu mimi)
Kama tamaduni zetu ni moja
Twende nyumbani ukamsabahi mama
Tupate baraka za wazazi
Na uwajue ndugu zangu
Dini zetu isiwe kama hoja
Pingamizi sintozingoja
Niko tayari kukuvisha pete
Uwe wangu...
Kwa utenzi huu
Niamini (niamini)
Nielewe (nielewe)
Coz you're my baby (yeah yeah)
You're...
You're my lady
Njoo nyumbani
Njoo nyumbani
You're my lady
Njoo nyumbani
Unipe burudani yeah
Uliniamini
You're my lady
Njoo nyumbani
Unipe burudani
Unione kama mimi yeah yeah ya'
Jua kwamba wewe ndio wangu (nd'o wangu)
Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
Raha za kungu kando zangu (nd'o zangu)
Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti..)
Nyota yako (ehh..) yang'ara yangu (Kwangu mimi)
[TID Reads Song CREDITS]

© Top in Dar (TID)
Watch the Nyota yako video by TID
Produced by Tedd Josiah, Blu Framez

Post new comment