Nyambizi
http://www.mzibo.net/muziki/images/dullysykes_s.jpg
View all from Dully Sykes
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media galleryDully SykesHistoria ya Kweli2003Abdul SykesSwahilihttp://www.youtube.com/watch?v=i6uB8iNW8bk
Kiitikio - Chorus
Nyambizi nakupendaa japoo Mkuubwaa,
Mateso ninayopato usiku ni makuubwaa!
Naomba unielewee uwewangu mchuumbaa,
Nyambizi nakupendaa japoo mkuubwaa!
Verse 1
Cheki, night kali nilimtembelea
Eddy Tazz, katika yake kazi, ya ulinzi, hukooo Tangi Bovu Mbezi
Basi tunapiga story si ndo kapita nyambizi
Na mwendo wa mapozi, nami nikampigia mluzi
Basi akasimama akapiga hatua saba mithili ya mtu anayetaka kukaba,
halafu akaja akaniuliza;
Kwani weee nani? (Hidaya)
Nikamwambia mie naitwa Prince Dully Sykes, basi alishangaa huyoo!
Haa kumbe nd'o uliyeimba Julietha, yaani siamini! (Hidaya)
Nikamwambia naomba uniamini
Kwani tulishawahi kuonana lini? (Hidaya)
Ok! nakumbuka ilikuwa siku ya
Valentine up to date empire mjini
Ulikuwa na rafiki yako alibeba mfukowa nylon
Haa n'shakumbuka siku ile nilikuwa na Winnie (Hidaya)
Mhhh! Ulikuwa umevaa kitop cheupe, pamoja no kimini
Kwani wee unafanya kazi gani?
Nafanya kazi katika shirika la benki nchini lipo palepale mjini (Hidaya)
Anhoha! Nyambizi, nimefurahi sana kukutia machoni
Anhahaa Dullyacha utani! (Hidaya)
Hee, Nyambizi, wallai nataka nikwambie neno ambalo linanisumbua mi moyoni.
Dully neno gani (Hidaya)
Nyambizi, nataka uwe nami maishani.
Kwa hilo haliwezekani (Hidaya)
Nyambizi kwa nini?
Unajua Dully wee kiumri bado upo chini (Hidaya)
Dah! Nyambizi,japokuwa unamiaka arobainimi nataka uwe nami maishani
Nimesema haiwezekoni na nnaazidi kuchelewa nyumbani (Hidaya)
Ok! Sasa Nyambizi tutaonana lini?
Ok! Nakupa promise njoo Jumapili saa Kumi jioni FM Club Kinondoni
(Hidaya)
Kiitikio 2x
Verse 2
Jumapili jioni, nilikwenda mpaka FM Club
Kinondoni, nikiwa nalindwa na John Wandiba pembeni
Tunafika getini, tunaona kila mtu anatuangalia sisi usoni
Tukaingia ndani kwa shauku, humo ndani kulijaa watu
Siku hiyo nilikuwa na mapene kama mobutu
Naangalia kushoto, namuona nyambizi jimama, akiwa na
Abby Sykes, nikasogea na kutoa salaam
Kwenye mashavu yake Nyambizi nikamshumu
Jicho nyannya siku hiyo nilikula ndumu.
Kama kawaida, baba kasogea katuachia nafasi mie na nyambizi tupate kuongea
Nami matatizo yangu yote nyambizi nikamuelezea
Mara naona anaaanza kunchekea, na macho kunilegezea
Mwisho nyaambizi anaanza kuniambia;
Dully, ombi lako moyoni nimeliridhia (Hidaya)
Weweee! Hapo hapo mwani ukaanza kunijia,
Nikatamani kumvamia, lakini ule muda wa kuishia ukawadia.
Hatukutaka tabu, tukachukua
Cab mpaka hoteli yo karibu
Kaishi akaanza kupata ulabu
Nilimuuliza maswali hakunijibu, Alibaki kama bubu
Kwa ajili yo pombe ilimtoka aibu ilibidi aniambie;
Dully chukua chumba ukanienzi! (Hidaya)
Nikaenda mapokezi kulipia chumba cha mapenzi
Mimi na nyambizi mpenzi, tukaingia ndani, tukaanza na romans, pole pole tena kwa pozi
Ukawadia ule muda wa dozz, nikamuuliza, Nyambizi tunaweza kulala?
King'asti unataka kulala ushakula? (Hidaya)
Aah! Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu
Nipe japo kiduchu, mi n'shachoka kupiga puchu!
Dully nakuonea huruma usije ukadata, haya kazime taa uje kupata! (Hidaya)
Huwii! Nikaenda kuzima taa ili nipate n'nachotaka
Nyambizi mama la kitanga, kiuno kizima kajaza shanga
Huwezi kuamini kwa jinsi alivyozipanga, kala mkorogo unaweza kujua ni mmanga!
Jimama kote anacheza, hadi sodoma
Japo kanimeza lakini mchezo anauweza
Na sijui wapi mchezo huu aliupokeza Sababu macho anafumba na kiuno anakilegeza
Semenimeni, semenimeni mpaka morning, nyambizi haniachi, hasikii wala haoni.
Nami sitoweza kumuacha, usiku huo ilikuwa bila zana
Ngoma dry ajali kazini mpaka kunakucha, Wwaaa!
Kiitikio
© Dully Sykes
Watch a video using the Nyambizi song/audio by Dully Sykes
Produced by





















abari gani we mzima
Post new comment